Wednesday, June 12, 2024

ZIARA YA WALIMU KITUO CHA HABARI CHA BUHA



Walimu na watumishi kutoka idara ya utawala ya Magaba Secondary iliyopo Kasulu wamefanya ziara ya mafunzo katika kituo cha habari cha Buha, wamefurahishwa na mfumo wa TEHAMA na uandishi wa habari za elimu. 

https://web.facebook.com/share/p/ke1g5dhFD5voBBr3/

0 comments:

Post a Comment